Kidney Tonifying Capsule (Women)
Viungo:
Rhizoma Dioscoreae, Fructus Lycii, Radix Ginseng, Cornu Cervi Pantotrichum, Radix Angelicae Sinensis, Longan Pulp, Concha Ostreae. Flos Chrysanthemi.
Kazi Na Faida Zake
- Kuzipa nguvu figo na kuboresha ufanyaji kazi ya kuchuja
- Kuondoa sumu zilizojazana ndani ya figo
- Kuboresha hamu ya tendo la ndoa na kutoa nguvu ya kumudu tendo la ndoa
- Kuzirekebisha ovari ili ziweke vizuri uwiano wa homoni
Yafaa Kwa:
- Wanawake wenye hedhi zinazobadilikabadilika
- Wanawake waliokoma hedhi
- Wanawake wenye postmenopausal syndrome
- Wanawake wenye uchovu sugu, maumivu ya joints (arthritis) na maumivu ya mgongo na nyonga (lumbago)
Maelezo Muhimu:
Mkondo Wa Figo (Kidney meridian at the viewpoint of TCM):
Figo huchukuliwa kuwa ni hifadhi kubwa kuliko zote ya nguvu muhimu za mwili na ndiyo sababu ikaitwa "The Minister of Power". Nguvu za mwanzo kabla ya kuzaliwa ambazo ndizo msingi wa maisha zinatunzwa ndani ya figo, sababu inayozifanya figo pia kuitwa chanzo cha maisha "The Root of Life". Kwa maono ya wachina, mkondo wa nguvu za mwili wa figo
unajumuisha tezi za adrenal ambazo hutoa aina nyingi ya homoni muhimu za kusimamia uvunjwaji na ujengaji wa mwili (metabolism), kutoa mabaki nje, kinga, ugumba na uzazi. Mkondo wa nguvu za mwili wa figo unaendelea kwenye eneo ambalo wachina huliita figo za nje; korodani kwa wanaume na ovari kwa wanawake. Kwa hiyo figo husimamia shughuli za tendo la ndoa na kuzaliana na kutoa nguvu ya mwanzo ya uwezo wa kufanya tendo la ndoa, ambao wachina huchukua kama ndiyo msingi wa afya na kinga za mwili.
Cornu Cervi Pantotrichum:
Cornu Cervi Pantotrichum inaboresha kinga za mwili za seli na kinga za mwili (hasa dhidi ya bakteria) zinazotokana na B cells. Huziboresha lymphoctes. Huongeza nguvu ya kujikinga ya mwili dhidi ya vijidudu wabaya na kuboresha mfumo wa kinga za mwili ili kujilinda na magonjwa na kudhibiti uponyaji wa vidonda.
Radix Angelicae Sinensis:
Mmea huu ambao huitwa "ultimate herb for women" hutumiwa sana na akina mama wa kichina kama dawa ya kutia nguvu ya kila siku, kama vile wanaume wanavyotumia ginseng. Kama dawa ya damu, ina faida katika mizunguko ya kipekee ya mabadiliko ya miili ya akina mama, mizunguko na mifumo ya mwili ingawa haipendekezwi kwa wanawake wenye mimba au walio kwenye hedhi.
Longan Pulp:
Longan Pulp ina uwingi wa chuma na vitamini B2, ambavyo ni virutubishi muhimu katika ujenzi wa hemoglobin. Pamoja na viambato vingine, kidney Tonifying Capsule (Women) ni bora kwa tatizo la upungufu wa damu, tatizo la kawaida kwa wanawake linalotokana na kutopata virutubishi vya kutosha, hedhi nzito, na postpartum anemia. Huondoa kizunguzungu, maumivu ya kichwa, kukosa utulivu wa akili, kukosa kumbukumbu ambavyo ni vya kawaida kwa wanawake.
<<<<< MWANZO